Human Resources and Administration
This division or department responsible for: Managing staff recruitment, placement, and development Overseeing employee welfare, performance, and disciplinary processes Handling administrative services, logistics, and office operations Ensuring compliance with labor laws and organizational policies
Department Overview
Divisheni hii inahusika na kusimamia masuala yote ya kiutawala na kiutumishi katika Mkoa.Key Responsibilities:
1. Kutunza Kumbukumbu sahihi za Watumishi wote kulingana na mahali alipo. 2. Kukadiria idadi ya Watumishi wanaotarajiwa kupatiwa Mafunzo. 3. Kuratibu na kushughulikia ajira, uthibitishwaji kazini na upandishwaji Vyeo Maofisa wa ngazi mbali mbali. 4. Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu katika sehemu ya kazi 5. Kuratibu masuala ya nidhamu za wafanyakazi katika Ofisi. 6. Kusimamia matumizi na matunzo ya vifaa vya Ofisi ikiwemo vyombo vya usafiri, magari, mitambo, samani, vifaa vya kuandikia na vifaa vya mawasiliano. 7. Kusimamia majengo na mali za Ofisi. 8. Kuandaa makisio ya Mishahara ya Watumishi kwa kila mwezi. 9. Kushughulikia maslahi mbali mbali ya watumishi wa Ofisi. 10. Kuandaa na kutekeleza mpango wa urithishaji madaraka. Kushughulikia malalamiko, migogoro na matatizo ya wafanyakazi. 11. Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa Miundo ya Utumishi na Taasisi. 12. Kuratibu na kushughulikia masuala mtambuka ndani ya taasisi. 13. Kuainisha matatizo ya wafanyakazi. 14. Kuandaa na kusimamia mpango wa Rasilimali Watu. 15. Kutoa huduma za kiutawala.
FATMA SALIM ALI
Head of Human Resource Management
fatma.mata@tamisemim.go.tz
0779759322
Department Statistics
Services Provided
The Human Resources and Administration offers a range of services to support the community in South Pemba Region.
Current Projects
View All ProjectsContact the Works Department
Office Location
Works Department
2nd Floor, South Pemba Region Building
South Pemba Town, Pemba Island
Tanzania
Contact Information
Phone: +255 24 245 3289
Email: works@southpemba.go.tz
Office Hours: Monday-Friday, 8:00 AM - 3:30 PM