Kitengo ha Sheria

Kitengo hichi kinahusika na kutoa huduma sheria katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

About This Unit

Detailed information about this unit will be added soon.

Key Responsibilities

  • Kutoa ushauri juu ya masuala ya kisheria na kusaidia katika kutoa tafsiri juu ya sheria na mikataba mbali mbali kwa Ofisi ya Mkoa.
  • Kushiriki na kutoa ushauri wa kisheria wakati wa majadiliano mbali mbali yanayohusu Ofisi ya Mkoa juu ya makubaliano au mikataba maalumu.
  • Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Sheria na taratibu mbali mbali katika Ofisi ya Mkoa na kutoa ushauri ili kuziboresha zaidi.
  • Kuandaa nyaraka mbali mbali za kisheria.
  • Kuandaa mapendekezo ya marekebisho ya Sheria na Kanuni mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu ya Mkoa.
  • Kutoa msaada wa kisheria katika ngazi ya Mkoa.