Kitengo cha Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma
Kitengo hichi kinahusika na shughuli za ununzi za Ofisi za Mikoa.
About This Unit
Detailed information about this unit will be added soon.
Key Responsibilities
-
Kuandaa na kutekeleza Mpango wa ununuzi wa mwaka wa Ofisi ya Mkoa na kuandaa taarifa ya utekelezaji wake.
-
Kuandaa Daftari la Mali za Ofisi.
-
Kutunza kumbu kumbu za Zabuni na Manunuzi.
-
Kuandaa Zabuni na kuratibu usimamizi wa utekelezaji wake.
-
Kununua, kutunza na kusimamia usambazaji wa vifaa na huduma mbali mbali za Ofisi ya Mkoa kwa mujibu wa Sheria na Miongozo ya Manunuzi.
-
Kusimamia vikao vya tathmini za Zabuni za Ofisi za Mkoa.
-
Kuandaa vikao vya Bodi za Zabuni.
-
Kushughulikia uondoaji wa mali za Ofisi.