Planning and Statistics
"This division is responsible for office planning, budgeting, monitoring and evaluation of programs and projects, as well as conducting and preparing office-related research.
Department Overview
Divisheni hii inahusika na uandaaji wa mipango ya Ofisi, bajeti, ufuatiliaji na tathmini ya programu na miradi, kutayarisha na kufanya tafiti za Ofisi.Key Responsibilities:
1. Kuandaa na kusimamia mpango kazi na bajeti za Ofisi ya Mkoa; 2. Kusimamia na kufuatilia miradi yote inayotekelezwa na Ofisi ya mkoa. 3. Kufanya uchambuzi wa hali halisi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na changamoto zinazojitokeza na kupendekeza hatua zinazostahiki kuchukuliwa. 4. Kufanya upembuzi yakinifu wa ndani kwa miradi ya maendeleo ya Ofisi ya Mkoa; 5. Kuandaa taarifa na kutoa takwimu za utekelezaji wa shughuli za majukumu mbali mbali yanayohusiana na kazi za Mkoa; 6. Kutoa mapendekezo ya Sera na Miradi katika sekta mbali mbali pamoja na malengo ya utekelezaji wake; 7. Kufanya Ufatiliaji na Tahthmini ya Miradi na Mpango kazi wa shughuli za Ofisi ya Mkoa husika; 8. Kuanda na kufanya mapitio ya Mpango Mkakati wa Mkoa kila baada ya miaka mitano ya utekelezaji.
Amria Masoud Said
Head of Planning, Policy, and Research
amria.said@tamisemim.go.tz
0773358669
Department Statistics
Services Provided
The Planning and Statistics offers a range of services to support the community in South Pemba Region.
Current Projects
View All Projects
Clean Water Supply System
The South Pemba Region Council has officially launched a new water supply system that will provide c...
Project DetailsContact the Works Department
Office Location
Works Department
2nd Floor, South Pemba Region Building
South Pemba Town, Pemba Island
Tanzania
Contact Information
Phone: +255 24 245 3289
Email: works@southpemba.go.tz
Office Hours: Monday-Friday, 8:00 AM - 3:30 PM