Records Management

"This division is responsible for record keeping, document preservation, and various office-related tasks

Department Overview

Divisheni hii inahusika na shughuli za uwekaji wa kumbukumbu na uhifadhi wa nyaraka na kazi mbali mbali za Ofisi.

Key Responsibilities:

1. Kupokea na kutunza kumbukumbu za Ofisi; 2. Kuchambua, kuorodhesha na kupanga Kumbukumbu/Nyaraka katika makundi kulingana na mada husika kwa ajili ya matumizi ya Ofisi; 3. Kuweka/kupanga Kumbukumbu/Nyaraka katika reki katika Masjala na vyumba vya kuhifadhi kumbukumbu tuli za Ofisi; 4. Kuweka na kutunza kumbukumbu katika Mafaili; 5. Kushughulikia maombi ya Kumbukumbu/Nyaraka kutoka kwa maafisa mbali mbali na Taasisi za Serikali; 6. Kuhifadhi Majalada yaliyofungwa kwa kumbukumbu za baadae.
Department Head

SALMA KASSIM OMAR

Head of department

rc.southpa@tamisemim.go.tz

0733008787

Department Statistics

18
Staff Members
12
Active Projects
65
Km Roads Maintained

Services Provided

The Records Management offers a range of services to support the community in South Pemba Region.

No services are currently listed for this department.

Current Projects

View All Projects
No projects are currently listed for this department.

Contact the Works Department

Office Location

Works Department
2nd Floor, South Pemba Region Building
South Pemba Town, Pemba Island
Tanzania

Contact Information

Phone: +255 24 245 3289
Email: works@southpemba.go.tz
Office Hours: Monday-Friday, 8:00 AM - 3:30 PM